WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UUGUZI MACHI/APRILI, 2012 WATARIPOTI VYUONI TAREHE 23/04/2012

 

Read More

WANAFUNZI WALIOKUWA WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA UUGUZI TUKUYU KWA NGAZI YA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA SABABU ZISIZOZUILIKA WATAJIUNGA NA CHUO CHA UUGUZI NEWALA.

 

TUNAWATAKA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA

 

AIDHA BARUA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UUGUZI KWA MWEZI MACHI/APRIL ZIMETUMWA KWENYE ANUANI ZENU

 

IMETOLEWA NA IDARA YA MAFUNZO

You are here: Home News TANGAZO KWA WANAFUNZI WATARAJALI (PRE-SERVICE) WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UUGUZI MWEZI MACHI/APRILI, 2012

Health Services

Design template For Health related services and facilities in Tanzania.

Documentation

For Ministerial related documents Click Here..

Tenders

 Joomlart Forum Click here....